Maumivu kwenye uume baada kufika kileleni

Maumivu kwenye uume baada kufika kileleni

mahondaw naona kila siku unaleta visa vya watu usije ukawa n ww mwenyew nyamaaaf.....

Halafu mwambie huyo mwanaume aache ungese hayo mambo ya kujifanya mkweli hayo ipo siku yatamtokea puani....
Wenzake wanasema ukweli wote ila sio huo wa michepuko... Ohoo shaur yake

Kha yamemuta ndomana kafunguka labda mficha magongwa....
 
Last edited by a moderator:
Walimu wa vidudu?hawajui hata kuwahi hospitali?

Ni wewe na mtu wako?
manake details ni nyingi sana...

Mwalimu wa secondari. Afu Mimi si ndo mleta habari banah data zote nimekusanya ipasavyo. hujatoa ushauri bado lakini
 
mahondaw naona kila siku unaleta visa vya watu usije ukawa n ww mwenyew nyamaaaf.....

Halafu mwambie huyo mwanaume aache ungese hayo mambo ya kujifanya mkweli hayo ipo siku yatamtokea puani....
Wenzake wanasema ukweli wote ila sio huo wa michepuko... Ohoo shaur yake

Afu mara nyingi tu mbona anafungukaga hata aliopanga kuwatongoza huwa anajisema teh.. Mi nasimuliwa tu
 
Last edited by a moderator:
Mke afanye vile moyo wake unataka

Afterall nani anataka mwanaume kitom**ist?????
Huyo mwl hata aibu hana

Kutwa kuharibu watoto wa wenzie hivi kwa nini asiripotiwe? Hafai kufundisha watoto wetu
 
Mke afanye vile moyo wake unataka

Afterall nani anataka mwanaume kitom**ist?????
Huyo mwl hata aibu hana

Kutwa kuharibu watoto wa wenzie hivi kwa nini asiripotiwe? Hafai kufundisha watoto wetu

Ndo mumewe sasa mke hata hajielewi yani yupo yupo tu kakondaaa kwa mawazo kila binti au jinsi Ke ikija kwao mke atoa mimacho kwa kuwa na wasiwasi maskini mpaka Huruma jins anavokaa roho juu juu
 
Mume akisikia habari hospital tu inakua balaa maneno kibaooo inamana huniamini eh n.k

Yaan huyo mwanaume ni tatizo! ameshajua anachoumwa ila anaona noma yatakayojiri hosp! unajua magonjwa ya zinaa yanatia aibu...sasa huenda yeye ana kaumaarufu flani kwenye hiyo wilaya anayokaa...so anaona itaspread, ndo hicho kinachomkwaza! Kama ni hivyo aende hosp ya mbali mf wilaya ingn..akubali gharama aepuke aibu. Ila mwisho wa siku lazma atibiwe na wife.

Otherwise akizidi kuzubaa, tatizo litakuwa kubwa zaidi na mwisho uponyaji wake utakuwa wa shida na wa muda mrefu huku gharama zikiwa kubwa na aibu juu
 
yaan huyo mwanaume ni tatizo! ameshajua anachoumwa ila anaona noma yatakayojiri hosp! unajua magonjwa ya zinaa yanatia aibu...sasa huenda yeye ana kaumaarufu flani kwenye hiyo wilaya anayokaa...so anaona itaspread, ndo hicho kinachomkwaza! Kama ni hivyo aende hosp ya mbali mf wilaya ingn..akubali gharama aepuke aibu. Ila mwisho wa siku lazma atibiwe na wife.

Otherwise akizidi kuzubaa, tatizo litakuwa kubwa zaidi na mwisho uponyaji wake utakuwa wa shida na wa muda mrefu huku gharama zikiwa kubwa na aibu juu

Ndo hapo sasa anaogopa nini!! Kama alisema wawe wakweli ili wasovu tatizo Haina haja ya kuogopa
 
Ndo hapo sasa anaogopa nini!! Kama alisema wawe wakweli ili wasovu tatizo Haina haja ya kuogopa

Hana akili. Kama uko karibu na huyo mkewe na alikushirikisha hili, mshauri akapime na akikutwa na tatizo atibiwe, wakigoma kumtibu peke yake awaambie mumewe kagoma, watamtibu tu. Then agome kushiriki tendo la ndoa na mumewe. Huyo mume mwacheni ajishauwe tu, itafika wakati atazidiwa na ataongoza hosp mwenyewe tena alfajiriiii, akishapona ndo ataelewa nini maana ya utulivu. Nonsense!
 
hana akili. Kama uko karibu na huyo mkewe na alikushirikisha hili, mshauri akapime na akikutwa na tatizo atibiwe, wakigoma kumtibu peke yake awaambie mumewe kagoma, watamtibu tu. Then agome kushiriki tendo la ndoa na mumewe. Huyo mume mwacheni ajishauwe tu, itafika wakati atazidiwa na ataongoza hosp mwenyewe tena alfajiriiii, akishapona ndo ataelewa nini maana ya utulivu. Nonsense!

Perfectly
 
Back
Top Bottom