Maumivu kwenye uume baada kufika kileleni

Maumivu kwenye uume baada kufika kileleni

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
Salamu kwenu wana MMU,

Karibuni sana katika hili kuna kitu naomba mnijuze enyi ndugu zangu. Kuna mtu mmoja yapata wiki moja sasa anasumbuliwa na uume. Nihivi kila akimaliza kukojoa mkojo( huu wa kawaida huu) uume huwa unamuuma sana kwa ndani badae ile hali inaacha. Akikojoa tena vivo hivo. Yeye alisikia kuwa hiyo ni dalili mojawapo ya magongwa ya zinaa japo hana uhakika kwani yeye anadhani labda ni kutokana na kufanya mapenzi sana.

Basi, kutokana na ya kusikia hali hiyo imejenga sintofahamu baina yake na mwenzi wake kwani yapata miezi mitano sasa tangu waanze ishi na mwenzie wakishiriki tendo la ndoa. Huyo kaka moja kwa moja alihisi kuwa eiza yeye au mwenzie kuna pahala alichepuka akazoa hiyo zinaa. Mume alivumilia kwa mda fulani akidhani hiyo hali itaacha lakini sivyo.

Ndipo alipomweleza mkewe kuwa kuna tatizo linanisumbua kwa mda fulani sasa na nafikiri kuna kitu kilifanyika labda wewe au mimi. Hebu tukae tuelezane ukweli.Mimi nitasema ukweli wote bila kuficha nawewe pia uwe muwazi. Walikaa chini na kuelezana bayana ambapo mkewe alikiri kuwa amekuwa mwaminifu kwa mumewe huyo kwa kipindi chote.

Vivo hivo mumewe nae alikiri wazi kuwa kuna mabinti wengi wanamtega mtega ila mmoja ndie alitaka kumwingiza mtegoni kwa asilimia 90 and "surely it was going to happen" nivile tu roho ilikua inamsuta ikawa baaasssi. Ukweli huo wa mumewe ulimuumiza sana mkewe kwani hiko kibinti kilikua kinakuja mke akiwepo na muda mwingine mke ndiye aliyekua akimpigia simu mumewe kumwambia kina fulani wamekuja nahivo mume anarudi haraka nyumbani kwa wageni hao kwani kulikua na shida fulani iliyowaleta ambayo ilijulikana kwa wote.

Pia kuna kipindi binti huyo alikua anakuja pekeake hata siku ambazo hawafundishwi mume anamwambia mke amuandalie mgeni huyo chai na mkate au kahawa (jioni jion mkoa fulani wa nyanda za baridi) mke bila kujua the other side of the coin anafanya hivo akijua ni ukarimu tu.Kilichomuumiza zaidi mke kuna wakati mume alipomaliza shida yao aliwasindikiza mpaka kwao mkewe kwa imani tu kuwa mume anasindikiza wageni wetu kumbeeeee!

Na hakukuwa na haja ya kusindikizwa mana walikua watatu mabinti wawili na kijana wakiume mmoja wala kupikiwa chai kwani shida yao ilikuwa ni kufundishwa tu (TUITION) Ukweli huo wa "surely it was going to happen ila basi tu" umemfanya mke asimwamini tena mumewe huyo mwalimu japo mume anasema binti ndiye aliyekua anamtega wala yeye hakumtongoza na alinusurika kidogo tu binti amgee. Tangu bayana hiyo mke amekosa kabisa hisia na mumewe kwani hapo awali kwasiku mke alihitaji mara kwa mara sasa imekua kinyume hataki hata kusikia ila wanafanya ilimradi tu mke hana imani kama alipona mtu yawezekana mume hakusema ukweli wote. THE TRUTH WILL SET YOU FREE

Ila ndoivo mke imemuuma sana kwani kipindi kile kile hakumueleza leo yamemsibu ya dudu ndo kufunguka eti. Mumewe huyo mwalimu amekuwa na mazoea na wanafunzi wake wakike kupitiliza. Kwenye simu yake kuna namba za madent kumi si kidogo na muda mwingine huchati nao usiku mara kwa mara mpaka kugombana na mkewe kwa hilo.Kuna denti mwingine alimwomba namba za wazazi wake eti anawashauri juu ya watoto wao

Khakhakhaaaaaa hhaloooooooooooooo! Hana lolote kitombi tu yule darasa mixa anawaona KE tu ebooo! Au tuseme KE ndo vilaza darasani kwake mhmh (mi sijui). Na washagombana sana na mkewe kwa hilo la videnti.Niacheni nacheke tu kwakweli kha khaa eti ticha alimuuliza denti anapenda masomo gani ili ajue jinsi ya kumsaidia akasema Geog B/k na Civics teh what a combinenga jaman au ndo CBG huhuuu. Kwa CBG hii ticha mhmhmhmhmhmhmhm.

Achilia mbali videnti sometimes hugombana na mkewe kwa kupenda kuchati kwa sms za kawaida whatsapp au hata kuongea na wadada mara kwa mara wakiwa na mkewe. Wakikaa kidogo tu sms kidogo tu sms wanarumbana mpaka ticha anaona aibu anaweka simu silence. Mtaani sasa ndo balaa tupu baa zote zenye wahudumu KE yaleyaleeeeh amewazoea mnooooooooo.Hivi ni wanaume wote mpo hivi? Je ni kweli kuwa hiyo ni dalili mojawapo ya magongwa tajwa au ni tatizo jingine? Je ni tatizo gani hilo jingine? Je ni dalili gani nyingine za magongwa hayo ya zinaa? Na mke afanyeje kurudisha hisia kwa mume ili wafurahi kama zamani?

Toa maoni na ushauri
 
Kifupi ni UTI waende hosp wacheki mkojo watapewa dawa zabac namama shida itaisha, dawa kama doxy+cipro+ metronidazole zitafaa nashida itaisha, ila huyo ticha ni ngono oriented, dadayetu awe makini asijekuwa anapokea wageni nakuwakalimu kumbe wakewenza, jingatichakitombi huyo mwambie wanafunzi nao wanapata ARVs nowadayz atakwenda namaji
 
Kama sio kisonono then kaswende! bt why kuguess? yeye aende hosp 4 checkup, km ni la zinaa...watamwagiza aende na wife ili watibiwe wote.

Maana by any means lazma kashamwambukiza na wife sema wanawake dalili huchelewa kuanza kuonekana...hivyo akitibiwa peke yake, halafu akashiriki tendo na wife tatizo litarudi. So lazma watibiwe wote na AKOME kichepuka
 
kifupi ni UTI waende hosp wacheki mkojo watapewa dawa zabac namama shida itaisha, dawa kama doxy+cipro+ metronidazole zitafaa nashida itaisha, ila huyo ticha ni ngono oriented, dadayetu awe makini asijekuwa anapokea wageni nakuwakalimu kumbe wakewenza, jingatichakitombi huyo mwambie wanafunzi nao wanapata ARVs nowadayz atakwenda namaji

Na hiko cha ukarimu ndo Kilichomuumiza zaidi. Mwanafunzi mngese sana yule
 
kama sio kisonono then kaswende! bt why kuguess? yeye aende hosp 4 checkup, km ni la zinaa...watamwagiza aende na wife ili watibiwe wote.

Maana by any means lazma kashamwambukiza na wife sema wanawake dalili huchelewa kuanza kuonekana...hivyo akitibiwa peke yake, halafu akashiriki tendo na wife tatizo litarudi. So lazma watibiwe wote na AKOME kichepuka

Mume akisikia habari hospital tu inakua balaa maneno kibaooo inamana huniamini eh n.k
 
Walimu wa twisheni mmmh!!! wengi wao ndo walivyo
 
Uyo ana UTI aende hosptal kabla tatizo halijawa kubwa..n u.t.i huambukizwa kwa njia nyingi ikiwemo sex.kushare vyoo hasa wanawake. na uchafuu..
 
uyo ana UTI aende hosptal kabla tatizo halijawa kubwa..n u.t.i huambukizwa kwa njia nyingi ikiwemo sex.kushare vyoo hasa wanawake. na uchafuu..

Maybe ngoja nijaribu kumshauri kwa nguvu sasa
 
mahondaw naona kila siku unaleta visa vya watu usije ukawa n ww mwenyew nyamaaaf.....

Halafu mwambie huyo mwanaume aache ungese hayo mambo ya kujifanya mkweli hayo ipo siku yatamtokea puani....
Wenzake wanasema ukweli wote ila sio huo wa michepuko... Ohoo shaur yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom