Maumivu makali chini ya kitovu, ugonjwa gani huu?

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
652
Ndugu yangu wa kiume 40 yrs anapata maumivu makali sana chini ya kitovu kushoto hasa anapokaa na anapolala. Amepima figo wamesema hamna kitu, amepima mkojo na choo hamna kitu, ila ultra sound wanasema ukuta wa kibofu ni mnene sana.

Je, ni ugonjwa gani na tiba ni ipi?
 
Inawezekana ikawa Cystitis ndiyo maana anapata Suprapubic pain na ukimuuliza zaidi anaweza kukuambia

1.Anapata shida wakati wa kukojoa ( Dysuria)

2.Kila mara anataka kukojoa lakini inakuwa kiwango kidogo cha mkojo kinatoka

Matibabu

Dawa anatakiwa atumie Broad spectrum antibiotics kama Ampicillin na Gentamycine kwa siku 5-7

E.g Gentamycine 500 tds 5/7 or 500 8hrly 5/7 vivyo hivyo kwa Ampicilline.
 
Acha usanii unamaanisha nini unaposema amepima mkojo na choo,amepima figo?
If ultrasound shows thickened bladder wall then the most likely diagnosis is cystitis.
Ni vizuri umuone dokta tena ukiwa na majibu yako mkononi,Maana kuna uwezekano aliyekusomea majibu yako alishindwa kuinterprete vizuri au ulipima tu alafu ukainterprete mwenyewe.

Ugua pole.
 
majibu ya hapo juu yanajitoshereza chamsingi hakikisha anayesoma majibu ya uss awedactar si wauza dawa'
 
acha ujuaji huyu mtu kaonana na dkt hospitali ya Ikonda mission njombe na kuandikiwa vipimo akapima na mahibu akapewa dkt,sasa unakurupuka nn usipende kuchangia hata usichostahili kuchangia
 
Una gono wewe

asante kwa ujinga wako ila jitahidi kuwa na akili kwani hii siyo sehemu ya mzaha watu wamefanikiwa kwa mengi hivyo tafuta sehemu iliyosawa na akili chafu uliyo nayo
 
hana shida kabisa wakati wa kukojoa na anakojoa vzr mkojo mwingi tu na maumivu anayapata akilala na akikaa,dawa ametumia amozyline kwa siku 2x3x5/7 lakini hajapata nafuu
 
hana shida kabisa wakati wa kukojoa na anakojoa vzr mkojo mwingi tu na maumivu anayapata akilala na akikaa,dawa ametumia amozyline kwa siku 2x3x5/7 lakini hajapata nafuu

Siyo lazima a-present na features zote tajwa ila Suprapubic pain is the main clinical feature, amozyline ni dawa gani hii??

Atumie either Ampicilline au Gentamycine atapona, hizi ni broad spectrum zina cover tatizo lake.
 
namanisha amoxylline ndugu,nashukuru sana
 
acha ujuaji huyu mtu kaonana na dkt hospitali ya Ikonda mission njombe na kuandikiwa vipimo akapima na mahibu akapewa dkt,sasa unakurupuka nn usipende kuchangia hata usichostahili kuchangia
Wewe ndiye unayejifanya mjuaji,Maana hata vipimo alivyofanya huvijui.Kapima mkojo na choo ndio nini?
Kama alionana na daktari then kilichokuleta hapa nini?
Kuna mtu kakushauri utumie Gentamycin au Ampicillin,hizo dawa zote zinahitaji intravenous access,huyo mgonjwa atapata vipi bila kurudi tena hospitali? Au wewe ndiye daktari aliyemuona mgonjwa hapo IKonda Maana povu linakutoka wakati mimi nimekupa ushauri wa kitaalamu.
 
Not necessary, kama ni Out Patient then he can take them Orally...
 
pumbafuuu acha kutafuta bwana humu acha wenyekujua watoe ushauri hukulazimishwa kutoa ushauri hapa ndorobooo we
 
pumbafuuu acha kutafuta bwana humu acha wenyekujua watoe ushauri hukulazimishwa kutoa ushauri hapa ndorobooo we
Matusi ya nini.JF ni pa kujadili mambo kwa hoja.Matusi peleka huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa.
 
Matusi ya nini.JF ni pa kujadili mambo kwa hoja.Matusi peleka huko kwenye vijiwe vyenu vya kahawa.

ungejua hivyo ungeanza kwa kujadili siyo kumuita mtu msanii na ni wazi wewe umetokea kwenye vijiwe vya kahawa napia siyo kila kitu uchangie hapa jf kisicho chako acha dwahusika wanaoelewa wachangie hilo siyo gazeti kuandika msururu wa matukio au kila kitu,malaya wewe!
 
MODerator,humu jamvini Matusi ruksa?maana sijui Amekula maharage ya wapi
 
MODerator,humu jamvini Matusi ruksa?maana sijui Amekula maharage ya wapi

ukija kwa matusi utajibiwa kwa matusi,jipendekeze zaidi kwa moderator upate bwana,mshenzi kabisa ukiwa huna cha kufanya kajitolee kusafisha nyumna za maiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…