E Eng kihonza Member Joined Mar 3, 2016 Posts 41 Reaction score 13 Mar 6, 2016 #1 Jaman nawasalimu kwa upendo mkubwa. Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu chin ya kitovu naomben msaada jaman. Mungu awabariki sana.
Jaman nawasalimu kwa upendo mkubwa. Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu chin ya kitovu naomben msaada jaman. Mungu awabariki sana.
M massaiboi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 1,359 Reaction score 2,052 Mar 6, 2016 #2 Hospital wanasemaje???
E Eng kihonza Member Joined Mar 3, 2016 Posts 41 Reaction score 13 Mar 9, 2016 Thread starter #3 Alizaa mara moja mtoto ikawa bahati mbaya. Je huenda ikawa bado ni chango?