Maumivu makali chini ya kitovu

Maumivu makali chini ya kitovu

Eng kihonza

Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
41
Reaction score
13
Jaman nawasalimu kwa upendo mkubwa.
Mke wangu anasumbuliwa sana na maumivu chin ya kitovu naomben msaada jaman. Mungu awabariki sana.
 
Alizaa mara moja mtoto ikawa bahati mbaya. Je huenda ikawa bado ni chango?
 
Back
Top Bottom