Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Maumivu yakoje,unasikia ganzi?kipi kipi ukifanya kinaongez maumivu,kipi kinapunguza maumivu,unafanya kazi gani,umri wako,gender,una maumivu yeyote ya mgongo?
Unaweza nipm mkuu naweza kukusaidia.
Nina tatizo kama hilo