Duh! Hiyo inawekana mkuu! Nilikuwa na hako ka tabia ka mwaka uliopita,inawezekana ikawa ndo imesabishaInawezelana ktk umri fulani ulijichua sana ikapelekea mishipa kupata dhoruba au unachango la kiume yaani ngiri onana na daktari bingwa atakusaidia ila umueleze ukweli kama ulijichua ni kwa muda gani.
Ndugu yangu mpendwa pole sn niseme poleni sana nyote mliopatwa na tatizo linalofanana na hilo, mm ni kijana wa zamani kwahiyo hali kama hiyo ilinipata kunako miaka ya '84 nilipona kwa dawa ndogo sn, na nilipopata kijana wangu mdogo mwaka 2005 alipofikia miaka 3 yaani 2009 akawa analia kuonyesha ana maumivu sehemu ake nyeti, niakmueleza mama yake ampe dawa hii ,TULATULA mizizi yake unaing'oa na kuparaza kutoa udongo na uchafu mwingine, itafune changanya na chumvi, najua wengi hawataamini lkn toka 1984 mapa leo sijasumbuliwa na tatizo hilo, na kijana wangu mama yake akamchemshia akampa, hadi leo ngiri haimsumbui tena, lkn huo ni mwanzo wa ngiri, au nguruwe wa kiume aishie porini.wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!
Mkuu me nipo arusha ntaipataje hiyo dawa ili niitumie,msaada wako unahitjika mkuu!Ndugu yangu mpendwa pole sn niseme poleni sana nyote mliopatwa na tatizo linalofanana na hilo, mm ni kijana wa zamani kwahiyo hali kama hiyo ilinipata kunako miaka ya '84 nilipona kwa dawa ndogo sn, na nilipopata kijana wangu mdogo mwaka 2005 alipofikia miaka 3 yaani 2009 akawa analia kuonyesha ana maumivu sehemu ake nyeti, niakmueleza mama yake ampe dawa hii ,TULATULA mizizi yake unaing'oa na kuparaza kutoa udongo na uchafu mwingine, itafune changanya na chumvi, najua wengi hawataamini lkn toka 1984 mapa leo sijasumbuliwa na tatizo hilo, na kijana wangu mama yake akamchemshia akampa, hadi leo ngiri haimsumbui tena, lkn huo ni mwanzo wa ngiri, au nguruwe wa kiume aishie porini.
Mkuu naomba na mimi uniPM kwani nina tatizo hilo na linanitesa kiasi cha kukata tamaa.Nimekupm mkuu!!!
Mkuu me nipo arusha ntaipataje hiyo dawa ili niitumie,msaada wako unahitjika mkuu!
wakuu nawasalimu,nina sumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye korodani zote haswa la kulia na sehemu yote inayozunguka uume baada ya kudo! Nimehudhuria hospital na kupima magonjwa yote ya zinaa nipo vizuri,tatizo hilo limeanza miaka mitatu iliyopita inapelekea nnakosa kabisa hamu ya hilo tendo na kuleta ugonzi na mchumba wangu! Je hili ni tatizo gani? Kuna tiba yake? Nawakilisha wakuu!!