Ndugu yangu mpendwa pole sn niseme poleni sana nyote mliopatwa na tatizo linalofanana na hilo, mm ni kijana wa zamani kwahiyo hali kama hiyo ilinipata kunako miaka ya '84 nilipona kwa dawa ndogo sn, na nilipopata kijana wangu mdogo mwaka 2005 alipofikia miaka 3 yaani 2009 akawa analia kuonyesha ana maumivu sehemu ake nyeti, niakmueleza mama yake ampe dawa hii ,TULATULA mizizi yake unaing'oa na kuparaza kutoa udongo na uchafu mwingine, itafune changanya na chumvi, najua wengi hawataamini lkn toka 1984 mapa leo sijasumbuliwa na tatizo hilo, na kijana wangu mama yake akamchemshia akampa, hadi leo ngiri haimsumbui tena, lkn huo ni mwanzo wa ngiri, au nguruwe wa kiume aishie porini.