Maumivu makali sehemu za kiume nikipandisha hisia na nisijamiane

Hii ni hali ya kawaida kwa wanaume. Kizungu inaitwa blue balls. Unapokuwa umenyegeka mzee amesimama for a while na usipo ejaculate ndo yanatokea hayo maumivi.

Tiba yake ni kuhakikisha inapotokea hali ukawa na mtu basi ingia hata chooni ufanye masterbation. Kwa maelezo zaidi search google kwa kutumia keyword "blue balls"
 
Mkuu much respect kwako mule mule
 
pole ila acha kupandisha hisia wakati mazingira hayaruhusu
 
punyeto si nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…