Hii ni hali ya kawaida kwa wanaume. Kizungu inaitwa blue balls. Unapokuwa umenyegeka mzee amesimama for a while na usipo ejaculate ndo yanatokea hayo maumivi.
Tiba yake ni kuhakikisha inapotokea hali ukawa na mtu basi ingia hata chooni ufanye masterbation. Kwa maelezo zaidi search google kwa kutumia keyword "blue balls"