Maumivu makali ukeni

pole sana THT ngoja waje wadada Mbadilishane mawazo na nini cha kufanya
 
Reactions: THT
nenda JF Doctor kuna wataalum wengi, hata hivyo mgoja nikusaidie, wewe uliwahi kupatwa na UTI sugu ukachelewa kuitibu, hivyo unatakiwa unywe daya ya kienyeji inaitwa KARANDALUGO KUTOKA BUKOBA inatibu magonjwa ya kike hasa UTI sugu alafu inaongeza vichocheo vya mapenzi kukufanya uwe mlaini sehemu zako za siri tayari kwa kufanya tendo. ONYO, ukiwa una boyfriend karibu usinywe unaweza ukavamia hata mtu mzima.
 
Reactions: THT

Uchunguze vizuri huo " uume " yawezekana una " miiba " ambayo huchepua haraka inapokuwa " imezama " kunako. Pole sana Dada!
 

Uchunguze vizuri huo " uume " yawezekana una " miiba " ambayo huchepua haraka inapokuwa " imezama " kunako. Pole sana Dada!
 
Uchunguze vizuri huo " uume " wa Mpenzio kwani yawezekana una " miiba " ambayo huchepua haraka inapokuwa " imezama " kunako. Pole sana Dada!
Sio kweli kaka angu
 
Huyo mwanaume anakubaka tu hamuandaani vya kutosha huogopi kupata michibuko itakayo sababisha ngoma
Kuniandaa ananiandaa sana lakini tatzo lipo pale pale
 
Maumivu yawezekana unamagonjwa yanayoshambulia uzazi kitaalam pelvic inflammatory disease sasa cha kufanya nenda hospital wakakuchunguze kwanza I'll uanze dawa mapema ......maumivu wakati wa tendo ni kiashiria cha uambukizo katika sehemu zako za siri na inaambukiza kwa njia ya kufanya ngono isio salama na mtu mwenye maambukizi....
 
Reactions: THT
Kuniandaa ananiandaa sana lakini tatzo lipo pale pale
Je na wewe huwa umejiandaa kisaikolojia na akikuaandaa ule ute hukutoka?? Mana ka hautoki inakuwa hormones hazijasisimkwa vzuri au either mwanaume ana umbile kumbe kiasi huenda kusuka kizazi ndo mana unaumia?
 
Reactions: THT
Pole sana...nadhani UTI inahusika hapa,
Mana kama hadi unapaka mate bado tatizo lipo palepale.

Otherwise mwambie jamaa awe mbunifu.
 
Reactions: THT
Hio UTI sema nini, tafta dawa za asili ndio zitakuwa freshi zaidi maana ishakuwa kimeo hospitali watakupa doxycycline ambayo ndio wanadai dozi kali ila inaweza ikadunda!
Watakubadilishia madawa sana bila mafanikio, UTI ni kimeo sana ikikukaa mwilini mda mrefu hivyo tafuta dawa asilia itayokuponesha kiuhakika bila kuwa na side effects!
 
Reactions: THT
Niliwahi kwenda nikatibiwa hiyo PID mwaka juzi ckukutana kimwili mpaka nilipopona lakini haikusaidia
 
Basi kafanye kipimo cha abdominal ultrasound wacheki kuna nn, pia screen for cervical cancer pia
 
Reactions: THT
tatizo ni muhogo wa jang`ombe,tafuta vibamia...dushe tu unaumwa je kuzaa utaweza kweli?pole anyway!
 
pole sana it must be VAGINISMUS
hii inacauses nyingi,, ntarud baadae
 
Reactions: THT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…