Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana THT ngoja waje wadada Mbadilishane mawazo na nini cha kufanyaHabari zenu jamani. Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenz napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane Tafadhali. Karibuni kwa ushauri
nenda JF Doctor kuna wataalum wengi, hata hivyo mgoja nikusaidie, wewe uliwahi kupatwa na UTI sugu ukachelewa kuitibu, hivyo unatakiwa unywe daya ya kienyeji inaitwa KARANDALUGO KUTOKA BUKOBA inatibu magonjwa ya kike hasa UTI sugu alafu inaongeza vichocheo vya mapenzi kukufanya uwe mlaini sehemu zako za siri tayari kwa kufanya tendo. ONYO, ukiwa una boyfriend karibu usinywe unaweza ukavamia hata mtu mzima.Habari zenu jamani. Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenz napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane Tafadhali. Karibuni kwa ushauri
Habari zenu jamani. Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenz napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane Tafadhali. Karibuni kwa ushauri
Habari zenu jamani. Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenz napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane Tafadhali. Karibuni kwa ushauri
jibu sahihi. mapnzi kuandaana..bila ya hvo bsi hkuna mapnz hpo ni maumivu tuHuyo mwanaume anakubaka tu hamuandaani vya kutosha huogopi kupata michibuko itakayo sababisha ngoma
Je na wewe huwa umejiandaa kisaikolojia na akikuaandaa ule ute hukutoka?? Mana ka hautoki inakuwa hormones hazijasisimkwa vzuri au either mwanaume ana umbile kumbe kiasi huenda kusuka kizazi ndo mana unaumia?Kuniandaa ananiandaa sana lakini tatzo lipo pale pale
Niliwahi kwenda nikatibiwa hiyo PID mwaka juzi ckukutana kimwili mpaka nilipopona lakini haikusaidiaMaumivu yawezekana unamagonjwa yanayoshambulia uzazi kitaalam pelvic inflammatory disease sasa cha kufanya nenda hospital wakakuchunguze kwanza I'll uanze dawa mapema ......maumivu wakati wa tendo ni kiashiria cha uambukizo katika sehemu zako za siri na inaambukiza kwa njia ya kufanya ngono isio salama na mtu mwenye maambukizi....
tatizo ni muhogo wa jang`ombe,tafuta vibamia...dushe tu unaumwa je kuzaa utaweza kweli?pole anyway!Habari zenu jamani,
Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenzi napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane tafadhali.
Karibuni kwa ushauri