Hana umbile kubwa, na ananiandaa vzr mpaka nalowana tatzo akianza tuJe na wewe huwa umejiandaa kisaikolojia na akikuaandaa ule ute hukutoka?? Mana ka hautoki inakuwa hormones hazijasisimkwa vzuri au either mwanaume ana umbile kumbe kiasi huenda kusuka kizazi ndo mana unaumia?
Dah! Poleni Sana geroz mna changamoto nying sanajibu sahihi. mapnzi kuandaana..bila ya hvo bsi hkuna mapnz hpo ni maumivu tu
Hapo kna matatizo ya infections, kamuone dk. wa magonjwa ya wanawake... Tiba asilia ndo mpango, muone dk.mwaka au rusigwaHana umbile kubwa, na ananiandaa vzr mpaka nalowana tatzo akianza tu
Hiyo dawa ni uongo niliitumia ndo kwanza UTI ikawa sugunenda JF Doctor kuna wataalum wengi, hata hivyo mgoja nikusaidie, wewe uliwahi kupatwa na UTI sugu ukachelewa kuitibu, hivyo unatakiwa unywe daya ya kienyeji inaitwa KARANDALUGO KUTOKA BUKOBA inatibu magonjwa ya kike hasa UTI sugu alafu inaongeza vichocheo vya mapenzi kukufanya uwe mlaini sehemu zako za siri tayari kwa kufanya tendo. ONYO, ukiwa una boyfriend karibu usinywe unaweza ukavamia hata mtu mzima.
Kuniandaa ananiandaa sana lakini tatzo lipo pale pale