Maumivu makali ukeni

Maumivu makali ukeni

Je na wewe huwa umejiandaa kisaikolojia na akikuaandaa ule ute hukutoka?? Mana ka hautoki inakuwa hormones hazijasisimkwa vzuri au either mwanaume ana umbile kumbe kiasi huenda kusuka kizazi ndo mana unaumia?
Hana umbile kubwa, na ananiandaa vzr mpaka nalowana tatzo akianza tu
 
Hana umbile kubwa, na ananiandaa vzr mpaka nalowana tatzo akianza tu
Hapo kna matatizo ya infections, kamuone dk. wa magonjwa ya wanawake... Tiba asilia ndo mpango, muone dk.mwaka au rusigwa
 
  • Thanks
Reactions: THT
nenda JF Doctor kuna wataalum wengi, hata hivyo mgoja nikusaidie, wewe uliwahi kupatwa na UTI sugu ukachelewa kuitibu, hivyo unatakiwa unywe daya ya kienyeji inaitwa KARANDALUGO KUTOKA BUKOBA inatibu magonjwa ya kike hasa UTI sugu alafu inaongeza vichocheo vya mapenzi kukufanya uwe mlaini sehemu zako za siri tayari kwa kufanya tendo. ONYO, ukiwa una boyfriend karibu usinywe unaweza ukavamia hata mtu mzima.
Hiyo dawa ni uongo niliitumia ndo kwanza UTI ikawa sugu
 
Back
Top Bottom