Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Mar 18, 2013 #1 Wakuu,kaka yangu ana tatizo hilo na lilianza kama kuna miba ilimchoma kidole cha mguu wa kulia.Amepima kila kipm hola.
Wakuu,kaka yangu ana tatizo hilo na lilianza kama kuna miba ilimchoma kidole cha mguu wa kulia.Amepima kila kipm hola.
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Mar 18, 2013 Thread starter #2 Mh poleni.Kwa uwezo wangu mdogo ni kuwa huenda kakako ana heart burn au Tatizo l ini.Labda Mzizi Mkavu na wengine watrai
Mh poleni.Kwa uwezo wangu mdogo ni kuwa huenda kakako ana heart burn au Tatizo l ini.Labda Mzizi Mkavu na wengine watrai
M mgange hussein Senior Member Joined Sep 10, 2012 Posts 159 Reaction score 43 Mar 18, 2013 #3 pole sana ndugu.nakushauri ajaribu pia kuenda ktk kitengo cha kifua apime kwa x ray anaweza akawa na matatizo ktk mapafu
pole sana ndugu.nakushauri ajaribu pia kuenda ktk kitengo cha kifua apime kwa x ray anaweza akawa na matatizo ktk mapafu