Maumivu makali upande wa kulia wa kifua nini tiba yake?

Maumivu makali upande wa kulia wa kifua nini tiba yake?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,315
Wakuu,kaka yangu ana tatizo hilo na lilianza kama kuna miba ilimchoma kidole cha mguu wa kulia.Amepima kila kipm hola.
 
Mh poleni.Kwa uwezo wangu mdogo ni kuwa huenda kakako ana heart burn au Tatizo l ini.Labda Mzizi Mkavu na wengine watrai
 
pole sana ndugu.nakushauri ajaribu pia kuenda ktk kitengo cha kifua apime kwa x ray anaweza akawa na matatizo ktk mapafu
 
Back
Top Bottom