Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya xray nimeambiwa sina tatizo doctor mwingine kaniambia nizae tatizo litaish sijawahi kutoa mimba wala kuzaa.....msaada enutafadhali Mungu awabariki sana umri wangu ni miaka26