Maumivu makali ya kiuno

Maumivu makali ya kiuno

gosheni5

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
14
Reaction score
5
Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya xray nimeambiwa sina tatizo doctor mwingine kaniambia nizae tatizo litaish sijawahi kutoa mimba wala kuzaa.....msaada enutafadhali Mungu awabariki sana umri wangu ni miaka26
 
Yawezekana unakaa sana ofisini na kwenye gari bila mazoezi.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
itakuw mifupa inakutana, coz catrige au mifupa laini imekauka nenda hospitali za tiba asili hzo nyingine hazitakusaidia chochote!!!
 
Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya xray nimeambiwa sina tatizo doctor mwingine kaniambia nizae tatizo litaish sijawahi kutoa mimba wala kuzaa.....msaada enutafadhali Mungu awabariki sana umri wangu ni miaka26

Back bone pain ni dalili mojawapo ya hysteria ...ushaur wa kuzaa pia ni mzuri kama baada ya xray uliambiwa huna tatizo ni vyema kujaribu hivyo ushauriwapo...kama una muda jaribu kutembelea Dr wa akina mama but my advice uwe karibu na mume at list ufanye mapenz na ufike kileleni atlist Mara 4 kwa week...pia itakuwa vizur kama utazaa pia...asante
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu ni kweli nsishi mbali na mpenzi wangu inaweza kuchukua hata a year cjafanya mapenzi ila juma5 nimepanga niende regency nimuone doctor wa wamama kuhusu ofisini ndiyo kwanza nimeanza kazi nina mwezi mmoja tu...Asanteni sana kwa ushauri
 
je unamtoto? kama huna basi usisahau kuchekiwa mirija ya uzazi... . hiyo nayo ni dalili ya matatizo ya uzazi kwa mwanamke.
pima mapema
 
Back
Top Bottom