Maumivu makali ya tumbo husambaa mpaka kwenye mguu wa kulia

Maumivu makali ya tumbo husambaa mpaka kwenye mguu wa kulia

Ramadhan Soa

Member
Joined
May 11, 2018
Posts
5
Reaction score
0
Ninasikia maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia kati ya kitovu na kibofu cha mkojo pia maumivu hayo husambaa mpaka kwenye mguu wa kulia.

Kuna Doctor nilimwelza akasema ni kidole tumbo (appendex), lakini nilienda kupima ultrasound haikuonesha (haikuonekana najiuliza je, kidole tumbo kinaweza kupimwa na ultrasound kisionekane?.

Takiribani miaka miwili sasa maumivu haya hananisumbua husababisha mwili kuuma na kuchoka sana. Please naombeni ushauri najua hapa kuna wataalam.
 
Jinsia yako tafadhali

Fanya kazi kwa bidii
 
IMG_20171222_203137.jpg

NENDA HOSPITALI

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeenda wakasema sina tatzo
 
View attachment 1007025

Nimeenda wakasema sina tatzo

Je ulienda hospitali ya kiwango gani?
Isijekuwa zahanati au kituo cha afya tu pale Baadhi ya vipimo havifanyiki!
Nenda hospital ya wilaya au ya mkoa au ya binafsi kaonane na specialist siyo general Dokta,
Kamuone physician!
Atacheki vipimo vya awali kisha itampelekea kufanya vingine kutegemeana na majibu!
Tena usichelewe kuwahi ni Kuzuri zaidi!
Piga magoti chumbani kwako kabla ya kwenda hospital muombe Mungu wako akufanyie wepesi tatizo lijulikane upone!
Pole mwaya!
Mungu akuwezeshe kupona haraka

Nimeenda hospital ya binafsi na hata ya mkoa ya Mount Meru hospital Arusha
 
Nimeenda hospital ya binafsi na hata ya mkoa ya Mount Meru hospital Arusha

Itabidi urudi tena uwambie wakupe rufaa uende Muhimbili au hospitali nyingine kubwa.
Mwombe Mungu akupngoze kunako ufumbuzi wa swala lako!
Halafu kama kuna mtu ama alikukosea au ulimkosea mtafute utengeneze nae!
Saingine ni vifungo vitokanavyo na relating issues hasa watu wako wa karibu kama vile mzazi, mtoto, ndugu, mke/mme wa mtu n.k
Kama ukijiridhisha hayo haya kuhusu basi zingatia ya maombi na hospitali kubwa utapona kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu ukienda kwa daktari funguka jieleze!
Kama umemuona physician hakuona tatizo wambie unataka kumuona specialist mwingine wa mifupa/tumbo kuhusu tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom