Ramadhan Soa
Member
- May 11, 2018
- 5
- 0
Ninasikia maumivu makali chini ya tumbo upande wa kulia kati ya kitovu na kibofu cha mkojo pia maumivu hayo husambaa mpaka kwenye mguu wa kulia.
Kuna Doctor nilimwelza akasema ni kidole tumbo (appendex), lakini nilienda kupima ultrasound haikuonesha (haikuonekana najiuliza je, kidole tumbo kinaweza kupimwa na ultrasound kisionekane?.
Takiribani miaka miwili sasa maumivu haya hananisumbua husababisha mwili kuuma na kuchoka sana. Please naombeni ushauri najua hapa kuna wataalam.