Je ulienda hospitali ya kiwango gani?
Isijekuwa zahanati au kituo cha afya tu pale Baadhi ya vipimo havifanyiki!
Nenda hospital ya wilaya au ya mkoa au ya binafsi kaonane na specialist siyo general Dokta,
Kamuone physician!
Atacheki vipimo vya awali kisha itampelekea kufanya vingine kutegemeana na majibu!
Tena usichelewe kuwahi ni Kuzuri zaidi!
Piga magoti chumbani kwako kabla ya kwenda hospital muombe Mungu wako akufanyie wepesi tatizo lijulikane upone!
Pole mwaya!
Mungu akuwezeshe kupona haraka
Sent using
Jamii Forums mobile app