Maumivu makubwa: Halotel pia wametoa huduma hii muhimu

Maumivu makubwa: Halotel pia wametoa huduma hii muhimu

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Kikawaida halotel lets say umeweka gb 1 ya week uka top up tena in 3 days inajazia kifurushi cha kwanza kama kilikuwa hakijaisha na siku ya ku expire inasogea mbele, jamaa wamekitoa.

Hivi hizi vurugu zote ni kodi au kukomoa watu watoke online?
 
Kazi iendeleee, tupo uchumi wa kati[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Duh hata mm nimeone sahv wanatoa 600mb .afu et wameongeza dakika ..sasa nan anataka dakika

Yan hapa bongo ni kutafuta tuu mtandao mmoja na kukomaa nao coz huku kuhama hama hakuna faida ..nlikua Ttcl nkahamia Halotel nao sahv wanazingua
 
Back
Top Bottom