MAUMIVU: Naumia sana wanavyomkosea heshima Mbowe

Jiulize kelele zote hizi za nini ? Si wasubiri box la kura lichague ? Wapiga ramli wote wanasema mbowe jitoe kwenye kinyang'anyiro eti kulinda heshima ,,,, tukutane kwenye box !
 
"from Robert Mugabe the freedom fighter, to Robert Mugabe the autocrat." - Tundu Antiphas Mughwai Lissu.

Unajua Mugabe alivyoanza na alivyomaliza? Ukishindwa kuilinda heshima yako mwenyewe unategemea nani ailinde?

"Ukikaidi utapigwa tu." - Mizengo Kayanza Peter Pinda.
 
Mbowe alijua wanachama na washabi wote wa Chadema wanampenda yeye,
 
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu.

Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo inageuka Meza ya kumvunjia heshima,kumdhalilisha,kumtweza na kumtesa sana huyu kiumbe wa Dhahabu na sijui anapata maumivu kiasi gani.

Nafahamu ni Uchaguzi ila kiukweli watu wa Mitandaoni na tunamkosea sana heshima huyu mtu mpaka naumia mimi hasa nikisikiliza Interviews zake anavyojaribu kufafanua tuhuma anazopewa na ukweli wa mambo ulivyo.

Nimpongeze Heche kwa kutumia hekima kubwa sana katika Kampeni zake kwa kuhakikisha anailinda pia thamani na Brand ya Mbowe isipotee katika ramani ya nchi hii,binafsi namuona kama Heche ni Kiongozi na sitashangaa akishinda Umakamu Mwenyekiti.

Mbowe keshatangaza hiki ni kipindi chake cha Mwisho na nimemsikiliza AZAM leo anasema atapendekeza amalizie kipindi chake kwa Miaka 3 ili apishanishe Uchaguzi wa Chama na Serikali kwa Maslahi ya Chama, nawaomba wanaCHADEMA kwa Utumishi aliowapa Mbowe unganeni wote wenye akili kuitetea Dhahabu yenu isidhalilishwe dakika za Mwisho.Hakuna kosa alilofanya kugombea Katiba ya Chama chake inamruhusu kabisa.

Longlive bro we Love you na tunashukuru kwa Utumishi wako katika kujenga Upinzani wa Tanzania.

Bora Atukanwe yeye mwenyewe kuliko chama kutukanwa kwa sababu yake .
Chama kinaitwa chagadema , chama kinaitwa cha kisultani ,Chama kinaitwa SACCOS na kila aina ya jina la kipuuzi kutokana na Mbowe kung'ang'ania Chama kwa miaka 21 . Anatafuta nini wakati anasema anajitolea bure na wakati mwingine anatumia pesa zake yeye? Kwa nini anataka kupata hasara yeye bila manufaa yoyote .Chama hakiongezi wanachama wala hakipati ushindi hata kwenye serikali za mitaa sasa hiyo faida ni ipi?

Mbowe atatukanwa yeye kwa niaba ya chama . Amejichafua mwenyewe na anataka chama kimsaidie kupiga kelele .
 
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu.

Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo inageuka Meza ya kumvunjia heshima,kumdhalilisha,kumtweza na kumtesa sana huyu kiumbe wa Dhahabu na sijui anapata maumivu kiasi gani.

Nafahamu ni Uchaguzi ila kiukweli watu wa Mitandaoni na tunamkosea sana heshima huyu mtu mpaka naumia mimi hasa nikisikiliza Interviews zake anavyojaribu kufafanua tuhuma anazopewa na ukweli wa mambo ulivyo.

Nimpongeze Heche kwa kutumia hekima kubwa sana katika Kampeni zake kwa kuhakikisha anailinda pia thamani na Brand ya Mbowe isipotee katika ramani ya nchi hii,binafsi namuona kama Heche ni Kiongozi na sitashangaa akishinda Umakamu Mwenyekiti.

Mbowe keshatangaza hiki ni kipindi chake cha Mwisho na nimemsikiliza AZAM leo anasema atapendekeza amalizie kipindi chake kwa Miaka 3 ili apishanishe Uchaguzi wa Chama na Serikali kwa Maslahi ya Chama, nawaomba wanaCHADEMA kwa Utumishi aliowapa Mbowe unganeni wote wenye akili kuitetea Dhahabu yenu isidhalilishwe dakika za Mwisho.Hakuna kosa alilofanya kugombea Katiba ya Chama chake inamruhusu kabisa.

Longlive bro we Love you na tunashukuru kwa Utumishi wako katika kujenga Upinzani wa Tanzania.
Kabisa, Mbowe mtamkumbuka huku mkilia machozi.
 
Kamchukue ukanywe naye chai.
20250105_150615.jpg
 
Haya yote ni zao la genge la watu watatu ambao ndiyo waasisi wa chokochoko hizi kisa uwenyekiti wa Mbowe.
Genge hili hatari zaidi ndani ya CDM kimejiapiza kuhakikisha Mbowe anang'oka sababu amekuwa kikwazo kwa mambo yao mengi kukwama.
Jamaa hawa hatari ni Lema, Lissu na Msigwa.

Heche kavamia tu hii kambi, wanamtumia ili waongeze nguvu lakini yeye si muasisi wa hii movement ya uasi ndani ya chama ambayo cha ajabu baadhi ya makada wa CCM waliijua mapema kabisa na kutamba kwamba ni suala la muda tu kabla CDM hawajaanza kugawana fito.

Watu hawa ni watu hatari sana sababu wanatumia hadi waasi na maadui wa nje ya CDM kuwasaidia lengo lao hili ovu.

Mungu atasimama upande wa Haki.
 
Asingeng'ang'ania madaraka haya yote yasingetokea.
Heshima yake ingedumu vizazi na vizazi, lakini ung'ang'anizi umemponza.
 
Mbowe keshatangaza hiki ni kipindi chake cha Mwisho na nimemsikiliza AZAM leo anasema atapendekeza amalizie kipindi chake kwa Miaka 3 ili apishanishe Uchaguzi wa Chama na Serikali kwa Maslahi ya Chama, nawaomba wanaCHADEMA kwa Utumishi aliowapa Mbowe unganeni wote wenye akili kuitetea Dhahabu yenu isidhalilishwe dakika za Mwisho.Hakuna kosa alilofanya kugombea Katiba ya Chama chake inamruhusu kabisa.
Mkuu
Tulia, kuna mambo hujui.

Kuna kipya gani anaweza kufanya sasa ambacho hakufanya miaka 20+ iliyopita?

Ukiweza em wasikilize hawa wanachama wa Chadema hapa labda utapata kitu..
๐Ÿ‘‡

View: https://youtube.com/watch?v=nLcsl_rWxOo&si=iQw8Gkv58iHaroJr
 
Wachaga Hqtung'ang'anii MADARAKA,
Wachaga Tunaithamini Kesho Yetu
Wachaga wanasema Mbowe Kuwa Makini Usiendelee Kutuaibisha Wachaga Mbowe chondechonde We Need Changes Meku Kila Kitu na Era zake
 
Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo inageuka Meza ya kumvunjia heshima,kumdhalilisha,kumtweza na kumtesa sana huyu kiumbe wa Dhahabu na sijui anapata maumivu kiasi gani.
Achana na propaganda za machawa wa ccm.

Huyo Mbowe ni kwamba sasa anatumika. Akishinda atageuza chama kuwa kama CUF ya Lipumba.

Jaribu pia kumsikiliza Lema hapa..
๐Ÿ‘‡

View: https://www.youtube.com/live/jkbbdSZTi0E?si=xf5M0AN-IkDC0teE
 
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu.

Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo inageuka Meza ya kumvunjia heshima,kumdhalilisha,kumtweza na kumtesa sana huyu kiumbe wa Dhahabu na sijui anapata maumivu kiasi gani.

Nafahamu ni Uchaguzi ila kiukweli watu wa Mitandaoni na tunamkosea sana heshima huyu mtu mpaka naumia mimi hasa nikisikiliza Interviews zake anavyojaribu kufafanua tuhuma anazopewa na ukweli wa mambo ulivyo.

Nimpongeze Heche kwa kutumia hekima kubwa sana katika Kampeni zake kwa kuhakikisha anailinda pia thamani na Brand ya Mbowe isipotee katika ramani ya nchi hii,binafsi namuona kama Heche ni Kiongozi na sitashangaa akishinda Umakamu Mwenyekiti.

Mbowe keshatangaza hiki ni kipindi chake cha Mwisho na nimemsikiliza AZAM leo anasema atapendekeza amalizie kipindi chake kwa Miaka 3 ili apishanishe Uchaguzi wa Chama na Serikali kwa Maslahi ya Chama, nawaomba wanaCHADEMA kwa Utumishi aliowapa Mbowe unganeni wote wenye akili kuitetea Dhahabu yenu isidhalilishwe dakika za Mwisho.Hakuna kosa alilofanya kugombea Katiba ya Chama chake inamruhusu kabisa.

Longlive bro we Love you na tunashukuru kwa Utumishi wako katika kujenga Upinzani wa Tanzania.
Chama ni mali ya wanachama na wengine. Mbowe hana maamuzi ya mwisho kwenye chama ndiyo maana kuna uchaguzi. Anaweza kuchaguliwa au kukataliwa. Basi.
 
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu.

Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo inageuka Meza ya kumvunjia heshima,kumdhalilisha,kumtweza na kumtesa sana huyu kiumbe wa Dhahabu na sijui anapata maumivu kiasi gani.

Nafahamu ni Uchaguzi ila kiukweli watu wa Mitandaoni na tunamkosea sana heshima huyu mtu mpaka naumia mimi hasa nikisikiliza Interviews zake anavyojaribu kufafanua tuhuma anazopewa na ukweli wa mambo ulivyo.

Nimpongeze Heche kwa kutumia hekima kubwa sana katika Kampeni zake kwa kuhakikisha anailinda pia thamani na Brand ya Mbowe isipotee katika ramani ya nchi hii,binafsi namuona kama Heche ni Kiongozi na sitashangaa akishinda Umakamu Mwenyekiti.

Mbowe keshatangaza hiki ni kipindi chake cha Mwisho na nimemsikiliza AZAM leo anasema atapendekeza amalizie kipindi chake kwa Miaka 3 ili apishanishe Uchaguzi wa Chama na Serikali kwa Maslahi ya Chama, nawaomba wanaCHADEMA kwa Utumishi aliowapa Mbowe unganeni wote wenye akili kuitetea Dhahabu yenu isidhalilishwe dakika za Mwisho.Hakuna kosa alilofanya kugombea Katiba ya Chama chake inamruhusu kabisa.

Longlive bro we Love you na tunashukuru kwa Utumishi wako katika kujenga Upinzani wa Tanzania.
Mbowe ni kiongozi
wala asije kujitowa.
Api gane mpaka mwisho
Hakuna aibu kushindwa

Kaunda wa Zambia alikuwa anashangiliwa kila pahali na ulipokuja uchaguzi akashindwa.
 
Hiyo haipo ajiandae kukabidhi kikoba ni zamu ya wanyiramba kula bata ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Niongee ukweli kutoka Moyoni naadmire sana Siasa za Mbowe na namheshimu kama Jabali la Siasa za Tanzania, Huyu mzee kafanya kazi kubwa sana anastahili heshima yake pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu.

Nafuatilia Uchaguzi wa CHADEMA naona kama CHADEMA aliyoijenga kwa jasho na damu leo inageuka Meza ya kumvunjia heshima,kumdhalilisha,kumtweza na kumtesa sana huyu kiumbe wa Dhahabu na sijui anapata maumivu kiasi gani.

Nafahamu ni Uchaguzi ila kiukweli watu wa Mitandaoni na tunamkosea sana heshima huyu mtu mpaka naumia mimi hasa nikisikiliza Interviews zake anavyojaribu kufafanua tuhuma anazopewa na ukweli wa mambo ulivyo.

Nimpongeze Heche kwa kutumia hekima kubwa sana katika Kampeni zake kwa kuhakikisha anailinda pia thamani na Brand ya Mbowe isipotee katika ramani ya nchi hii,binafsi namuona kama Heche ni Kiongozi na sitashangaa akishinda Umakamu Mwenyekiti.

Mbowe keshatangaza hiki ni kipindi chake cha Mwisho na nimemsikiliza AZAM leo anasema atapendekeza amalizie kipindi chake kwa Miaka 3 ili apishanishe Uchaguzi wa Chama na Serikali kwa Maslahi ya Chama, nawaomba wanaCHADEMA kwa Utumishi aliowapa Mbowe unganeni wote wenye akili kuitetea Dhahabu yenu isidhalilishwe dakika za Mwisho.Hakuna kosa alilofanya kugombea Katiba ya Chama chake inamruhusu kabisa.

Longlive bro we Love you na tunashukuru kwa Utumishi wako katika kujenga Upinzani wa Tanzania.
Mbowe Yuko vizuri sana tofauti na yule wa mihemuko
 
Back
Top Bottom