Maumivu ndani ya kifua

Maumivu ndani ya kifua

Don Billionea

Senior Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
152
Reaction score
204
Habari wana JF siku tano zilizopita kuna kitu kilinichekesha sana nilicheka mno adi nikahisi nguvu zimeniishia baadae nikaanza kuhisi kama chembe inaniuma upande wa kulia ndani ya kifua changu, kisha maumivu yakazidi imefika wakati adi kuinama nashindwa nimeamua kuanza kumeza Pen v jana maana nilihisi nimeumia bandama au vitu vyovyote kifuani hii leo nikihema kifua kwa ndani upande ule ule wa kulia kinaniuma sana.

Tatizo ni nini tena na mimi sio mvutaji kabisa wa sigara kicheko tu kimeniletea maumivu makali kifuani msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu nenda hospitali ukapate matibabu sahihi, usitumie antibiotics bila ushauri wa daktari. Pole sana
 
Pole sana nenda hospital kafanyiwe vipimo.
Kipi kikuchekeshacho mpaka waumwa kifua? Tupe na sisi tuchome bandama zetu.
 
Pamoja na waliotangulia inawezekana ume strain muscles tu na baada ya muda zitapona.
 
Back
Top Bottom