Don Billionea
Senior Member
- Jul 15, 2018
- 152
- 204
Habari wana JF siku tano zilizopita kuna kitu kilinichekesha sana nilicheka mno adi nikahisi nguvu zimeniishia baadae nikaanza kuhisi kama chembe inaniuma upande wa kulia ndani ya kifua changu, kisha maumivu yakazidi imefika wakati adi kuinama nashindwa nimeamua kuanza kumeza Pen v jana maana nilihisi nimeumia bandama au vitu vyovyote kifuani hii leo nikihema kifua kwa ndani upande ule ule wa kulia kinaniuma sana.
Tatizo ni nini tena na mimi sio mvutaji kabisa wa sigara kicheko tu kimeniletea maumivu makali kifuani msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nini tena na mimi sio mvutaji kabisa wa sigara kicheko tu kimeniletea maumivu makali kifuani msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app