Maumivu ni makali sanaa

Maumivu ni makali sanaa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Maumivu ni makali sanaa

Hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida

Ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana Simba leo anaugua kivyake

Poleni sana ndugu zangu hakuna neno la kufuta machungu yenu

Mlichokitegemea sicho mlichopata inaumiza sana, kila nikitazama macho ya Wana Simba naona uchungu na maumivu yaliyopitiliza, kiukweli mnateseka ndugu zangu 😭

Tumeshapoteza, tutulie tuone tunaingiaje msimu mpya, Sio rahisi kusahau lakini tunapaswa kujisahaulisha maana ligi inaanza wiki ijayo ni muhimu zaidi kuanza vizuri

Panapovuja pameonekana tuwaachie wahusika wafanye maamuzi sahihi

Poleni🙏🙏🙏😭😭
 
Maumivu ni makali sanaa[emoji24][emoji24]

Hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida

Ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana Simba leo anaugua kivyake

Poleni sana ndugu zangu hakuna neno la kufuta machungu yenu

Mlichokitegemea sicho mlichopata inaumiza sana, kila nikitazama macho ya Wana Simba naona uchungu na maumivu yaliyopitiliza, kiukweli mnateseka ndugu zangu [emoji24]

Tumeshapoteza, tutulie tuone tunaingiaje msimu mpya, Sio rahisi kusahau lakini tunapaswa kujisahaulisha maana ligi inaanza wiki ijayo ni muhimu zaidi kuanza vizuri

Panapovuja pameonekana tuwaachie wahusika wafanye maamuzi sahihi

Poleni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji24][emoji24]
Wapumbavu wote wale hakuna hatua watachukua
 
😅😅😅Mimi nilipoa mapema maana arsenal kashinda na man UTD kapigwa.
 
Unaambiwa huyo Mayele Alishawahi kufunga Penati Kwa Kichwa🤣🤣🤣huyo Aziz Ki ni Iniesta Mtupu,
Unaambiwa Alishawa kufunga Goli akiwa Benchi, siyo akitokea Benchi Akiwa Benchi yaani.🤣🤣
Nchi Ina vijana waongo😅😅😅😅
 
Unaambiwa huyo Mayele Alishawahi kufunga Penati Kwa Kichwa🤣🤣🤣huyo Aziz Ki ni Iniesta Mtupu,
Unaambiwa Alishawa kufunga Goli akiwa Benchi, siyo akitokea Benchi Akiwa Benchi yaani.🤣🤣
Rahaaaa utamuuuu...... Yangaaaaaaaaa.
 
Maumivu ni makali sanaa😭😭

Hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida

Ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana Simba leo anaugua kivyake

Poleni sana ndugu zangu hakuna neno la kufuta machungu yenu

Mlichokitegemea sicho mlichopata inaumiza sana, kila nikitazama macho ya Wana Simba naona uchungu na maumivu yaliyopitiliza, kiukweli mnateseka ndugu zangu 😭

Tumeshapoteza, tutulie tuone tunaingiaje msimu mpya, Sio rahisi kusahau lakini tunapaswa kujisahaulisha maana ligi inaanza wiki ijayo ni muhimu zaidi kuanza vizuri

Panapovuja pameonekana tuwaachie wahusika wafanye maamuzi sahihi

Poleni🙏🙏🙏😭😭
Mmepigwa mara tatu mfululizo kwenye mechi muhimu mbili fainali moja nusu fainali.

Ila yote tisa kinachowauma wana Simba ni kufungwa na mchezaji (Mayele) ambaye mlijiamini hato wafunga sababu tu ya Inonga na akawapiga mbili.

Nasisitiza Oktoba mnapigwa tena kwani Aziz K,pale hajaonyesha ule obora wake hata kwa 50%,akipata moto mtatafutana.
 
Kwani Aziz Ki keshacheza mechi ngapi dhid ya Simba na amefunga magoli mangapi hadi sasa dhidi ya Simba?
 
Nilidhani kafunga magoli hata 4 na asist 5 hivi ndo ningeona ni tishio sana ila hivi ni unazi tu huo

Kafunga goli 1 kaasist 1 ndani ya mechi 3 ni takwimu za kawaida tu hizi hazitishi kabisa
 
umeonaa mpira anaoupigaa lakinii kijanaaaa...
 
Mmepigwa mara tatu mfululizo kwenye mechi muhimu mbili fainali moja nusu fainali.

Ila yote tisa kinachowauma wana Simba ni kufungwa na mchezaji (Mayele) ambaye mlijiamini hato wafunga sababu tu ya Inonga na akawapiga mbili.

Nasisitiza Oktoba mnapigwa tena kwani Aziz K,pale hajaonyesha ule obora wake hata kwa 50%,akipata moto mtatafutana.
MAKOLO ni MBUMBUMBU sana, eti iliamua kuhama timu yao ya MAKOLOKOLO na kuishabikia timu ya Gold Star kisa Mayele alikosa kiatu cha dhahabu ktk dakika za majeruhi NBC PL kuisha.

Kibaya zaidi MAKOLO yameamua kujifariji na historia zilizokwisha kupita wakidai ni timu kubwa Africa, timu kubwa bila kombe la kibabe la Africa ni kujizima data kiakili [emoji3]
 
Back
Top Bottom