Maumivu tu

Maumivu tu

Hii kazi ya kukusanya zote hizi uliifanya kwa muda gani?
 
Inaonekana unashida na changamoto za kifamilia, mahusiano, kazi, ukata, upweke, umaskini na yooote umeyabeba kwa muda mrefu sana right....🤔
 
Inaonekana unashida na changamoto za kifamilia, mahusiano, kazi, ukata, upweke, umaskini na yooote umeyabeba kwa muda mrefu sana right....🤔
Maisha yenyewe ndio haya haya alafu tuishi serious namna hiyo mkuu?. Aah we niache tu niwe na hizo changamoto kama ni hivyo
 
Back
Top Bottom