Maumivu upande wa kushoto mbavuni

Nuhu Juliani

Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
11
Reaction score
7
Wadau naombeni msaada wenu jamani....

Mimi nasumbuliwa na maumivu mbavuni na muda mwingine naskia kama mfano wa kupeuwa ndani kwa ndani upande wa kushoto na maumivu kwenye kitovu na kichomi tumboni mpaka mgongoni .. Nimepima damu nimeambiwa ipo( 11•5 gl ) na presha ipo ( 100/60 ) .. msaada wenu wadauu
 
Pole Sana
Nenda Hospitali
Huenda una vidonda vya tumbo
na asidi inapanda kifuani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…