Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 564
- Thread starter
- #21
Nimepewa dawa za kumeza 1x3 per day.Mkuu vipi umeshaenda kumuona Daktari?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepewa dawa za kumeza 1x3 per day.Mkuu vipi umeshaenda kumuona Daktari?.
Kesho nakuja dar nafkri ntawaeza kupata vipimo sahii
Naughty by nature umejuaje Kama alifariki?Dah,huyu mleta mada kumbe alifariki aisee, so painfull, r.i.p
@Naughty by nature umejuaje Kama alifafiki?
Kwenye profile yake kuna neno "R.i.p@Naughty by nature umejuaje Kama alifafiki?
Sijui kwanini leo nimejikuta nafatilia posts zake... very sad😥Dah,huyu mleta mada kumbe alifariki aisee, so painfull, r.i.p
Inauma sana kwa kweli tumempoteza mwenzetu. Hivi mtu akifa, Jamiiforums wanajuaje kama kafa mpaka wanachange status yake na kuweka R.I.P?Sijui kwanini leo nimejikuta nafatilia posts zake... very sad[emoji26]
Me mwenyewe sielewi, labda kuna baadhi wanafahamiana nje na JF huwa wanatoa taarifa 🤷♀️Inauma sana kwa kweli tumempoteza mwenzetu. Hivi mtu akifa, Jamiiforums wanajuaje kama kafa mpaka wanachange status yake na kuweka R.I.P?
Poleni nyote wana jf kwa kuondokewa na ndugu yetu Mungu amlaze mahala pema peponi
Inaonekana mtoa mada ameshafariki mkuuKama una fedha nenda kwa wa Taalam ndugu... Ni bora zaidi.
Inaonekana mtoa mada ameshafariki mkuu
Apumzike kwa amani!