Maumivu upande wa kushoto

Maumivu upande wa kushoto

borncool

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
226
Reaction score
49
Niaje wadau wife anasumbuliwa na maumivu katikati ya kiuno na mbavu upande wa kushoto ,sijajua tatizo ni nini hapa kama mwenye uelewa na hivyo msaada .naomba kuwasilisha
 
Michezo imemchosha mkuu huonag hata viungo wa Liverpool wakifululiziwaga mechi huwa wanachoka
 
Niaje wadau wife anasumbuliwa na maumivu katikati ya kiuno na mbavu upande wa kushoto ,sijajua tatizo ni nini hapa kama mwenye uelewa na hivyo msaada .naomba kuwasilisha
katikati ya kiuno ndio wapi?

Je, ni mjamzito?

hayo ya upande wa mbavu ni usawa wa kifua au usawa wa tumbo?

vipi hapati homa/kuchemka/kuhisi baridi kali?
 
Back
Top Bottom