Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katikati ya kiuno ndio wapi?Niaje wadau wife anasumbuliwa na maumivu katikati ya kiuno na mbavu upande wa kushoto ,sijajua tatizo ni nini hapa kama mwenye uelewa na hivyo msaada .naomba kuwasilisha