Maumivu wakati wa kujisaidia choo kikubwa

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Napata maumivu wakat wa kujisaidia haja kubwa maumivu kama ya mtu aliekula pili pili nyingi na muda mwingne nawashwa sana,takribani wiki ya pili sasa,najisaidia choo cha kawaida na sio kigumu.Tatizo ni nini na tiba ni nini?Ahsanteni
 
maumivu yapo sehemu gani mkuu? na unawashwa wapi na je ni muda wote au au baada kufanya kitu gani?
 
Kunywa maji kwa wingi kama 8 glasses per day..kama unakula miraa ama kunywa pombe punguza sababu ya dehydration...kula vyakula ziko na fibre kama brown bread brown rice avoid processed foods..gluten etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…