Ndugu wana Jf naomba msaada kwenu
Napata shida wakati wa kujisaidia choo kikubwa, napata maumivu makali huku choo kikiwa kimechanganyika na Damu, je! Haya ni maradhi gani na nini Tiba yake?
Mkuu hiyo huenda kawa bawasili au hata typhoid so kwa uhakika zaidi nenda hospital ukafanyiwe vipimo ili ujue unatafuta tiba ya ugonjwa gani kuliko kuhisi.