Maumivu wakati wa kukojoa

Maumivu wakati wa kukojoa

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
567
Reaction score
55
naomba msada tangu sasa ni siku ya tatu kila nikienda kukojoa nahis maumivu sana kwenye kichwa cha uume.naomba msada je ni ugonjwa
 
Nenda hospitali ukachekiwe, inawezekana ni ugonjwa wa zinaa huo.
 
Urethritis na inawezekana ikawa ni maambukizi ya bakteria. Nenda hospitali wewe na partner wako mkatibiwe.
 
Umeshalikwaa gonorrhea mkuu, ni STD hiyo nenda kapate huduma, pole.
 
Back
Top Bottom