maumivu ya ajabukwenye mguu .

kuringe

Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
19
Reaction score
1
jaman wadau wa forum hii naomba msaada wenu,mguu wangu wa kushoto eneo la linalokaribiana na kiuno linauma ndan kwa ndan,hakuna uvimbe wowote sjawahi kuanguka wala kuumia eneo hilo.maumivu nayoskia kama vile kitu kinapekecha mfupa kwa ndan kias kwamba kutembea inakua shida.nmejaribu kujichunguza hakuna maumivu kwenye nyama ila hali nayoiskia sio kabisa.natarajia mchango wenu wa kujenga.asanten.
 
jaribu kwenda kupima hospital na huenda ikawa una tatzo katika eneo hilo kwan si mpaka huumie au ujigonge mwili wa binadamu una visa kama choo cha kuflash nenda hospital muelezee daktar wa mifupa kama kutakuwa hajaona tatzo ntarud kukupa njia nyngne kwanza nenda hospital akikisha umekwenda hospital plz plz
 
Fanya mazoezi na kuwa makini na posture yako inawezekana mwili wako unakuwa supported na upande wakushoto na kama ushawahi kubeba mimba inawezekana mtoto alilemea upande huo. Suluhisho ni mazoezi kwa sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
je wewe ni muathirika wa virusi vya ukimwi ?upo kwenye regimen ip?
 
nawashukuru kwa ushaur mm sio mwathirika wa virus,na wala sio mwanamke ni mwanaume nina miaka 34 sina uzito wa kutisha kulingana na urefu wangu.asanten.
 
Mkuu.@kuringe Kabla ya kuja hapa kwanza kueleza matatizo yako ningeli kushauri uende Hospitali ili Daktari akupime na kujuwa nini chanzo chake hayoMaradhi yako? na utumie dawa za hospitali ikishinikana hujapona ndio waweza kuja hapa kutupa Feedback unaonaje mkuu ushauri wangu?
 

hapo hata mimi nahitaj zaid maelezo coz ma mom has the same problem
 
hapo hata mimi nahitaj zaid maelezo coz ma mom has the same problem
Mikuu Rjohn Mpeleke mgonjwa Hospitali akaangaliwe ni kitu gani kinachosababisha mguu kuuma sio kuja hapa kueleza matatizo yako tutajuaje una ugonjwa gani?
 
Last edited by a moderator:

Bw kuringe hebu zingatia ushauri huu wa MziziMkavu utakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…