jaman wadau wa forum hii naomba msaada wenu,mguu wangu wa kushoto eneo la linalokaribiana na kiuno linauma ndan kwa ndan,hakuna uvimbe wowote sjawahi kuanguka wala kuumia eneo hilo.maumivu nayoskia kama vile kitu kinapekecha mfupa kwa ndan kias kwamba kutembea inakua shida.nmejaribu kujichunguza hakuna maumivu kwenye nyama ila hali nayoiskia sio kabisa.natarajia mchango wenu wa kujenga.asanten.