Inasikitisha sana lakini ukweli mchungu katika soka letu ni kwamba kuna michezo michafu inachezwa na kusimamiwa na timu moja inayojinasibu kuwa bora kwa miaka mitano mfululizo.
Hawa watu ndio walitekeleza jukumu la kuhakikisha anapangwa mwamuzi ambaye angeathiri saikolojia ya wachezaji wa Simba na mashabiki ili washindwe kutimiza malengo yao.
Mpango ulikuwa kwamba Libase achezewe rafu mbaya na aki react tu,yeye ndiye apewe kadi nyekundu.
Wachezaji wa Azam walijua mwamuzi wao ambaye waliandaliwa na timu iliyoahidi kuwasaidia,angechezesha lakini walipomkosa wakaamua kufanya faulo nyingi maksudi ingawa sio kawaida yao.
Mmiliki wa timu naye alihakikishiwa na waliohidi kumsaidia kwamba kombe la CRDB atabeba.Maumivu yalikuwa makubwa kwa sababu ya uhuni waliofanya kubadilishana matokeo na wahuni wa nchi hii.
Inasikitisha timu inaajiri kocha mkubwa Afrika halafu inahusika kwenye maigizo ya mpira bila aibu halafu wanajidai wana uchungu sana kufungwa na Simba wakati wakifungwa na wahuni wanatoka wakichekelea tu.
Azam siyo timu ndogo ya kutumwa na wahuni waumize mchezaji wa Simba.Wanapaswa kujitambua ili wapate mashabiki wa kweli siyo kujilegeza kwa wahuni halafu wanachekelea kufungwa