Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini.
Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
Mara chache hutokea kuwa jino linauma au upande fulani wa taya unauma lakin jino hasa linalosumbua halionekani
Lakin ulivosema mstari mweus unaonekana that means yawezekana tatizo lilianzia hapo
Na pia hutokea muda mwingine maumivu yanahama "radiation of pain"
Unawexa kuona baada ya uchunguzi wa kina jino lenye tatizo liko upande wa na upande wa maumivu
Nenda dental clinic iliyo karibu na ww kwa uchunguz zaid ndugu yangu unaweza ukabaki kimya kumbe kuna tatizo kubwa mwisho wa siku ukapata complication kubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.