Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino

Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino

SON2016

Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
64
Reaction score
37
Maumivu ya ghafla kwenye taya ya jino kulia chini.
Msaada Dr. yani maumivi yameanza ghafla nikiangalia sioni jino lililo pekechwa ila kuna moja naona lina mstari mweusi katikati.
 
Mara chache hutokea kuwa jino linauma au upande fulani wa taya unauma lakin jino hasa linalosumbua halionekani
Lakin ulivosema mstari mweus unaonekana that means yawezekana tatizo lilianzia hapo

Na pia hutokea muda mwingine maumivu yanahama "radiation of pain"
Unawexa kuona baada ya uchunguzi wa kina jino lenye tatizo liko upande wa na upande wa maumivu

Nenda dental clinic iliyo karibu na ww kwa uchunguz zaid ndugu yangu unaweza ukabaki kimya kumbe kuna tatizo kubwa mwisho wa siku ukapata complication kubwa
 
Ishawahi nitokea hiyo.Usihofu baada ya mda itaisha kma haina tatizo lingine
 
Back
Top Bottom