Mara chache hutokea kuwa jino linauma au upande fulani wa taya unauma lakin jino hasa linalosumbua halionekani
Lakin ulivosema mstari mweus unaonekana that means yawezekana tatizo lilianzia hapo
Na pia hutokea muda mwingine maumivu yanahama "radiation of pain"
Unawexa kuona baada ya uchunguzi wa kina jino lenye tatizo liko upande wa na upande wa maumivu
Nenda dental clinic iliyo karibu na ww kwa uchunguz zaid ndugu yangu unaweza ukabaki kimya kumbe kuna tatizo kubwa mwisho wa siku ukapata complication kubwa