zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
nilikaaa miezi kadhaa bila kufanya mazoezi nilipoanza nikawa nasikia maumivu hayo goti la kulia,lakini si maumivu ya kunifanya nishindwe kukimbia au kukunja goti,ni pembeni upende wa kushoto....Lazima kuna sababu za wewe kuumwa magoti chunguza ni nini na unaweza kutumia
Naproxen 500mg
Dosage:1 tablet morning
1 tablet evening for 10 days.
Labda jaribu kuuchua kwa dawa kama volini pamoja na kuufanyisha mazoezi...
then ni kwasababu ya mazoezi hio dawa itakupunguzia maumivu kwa muda...lakini maumivu hayo yakiendelea zaidi ya wiki mbili kamuone daktari!