Maumivu ya goti; Dawa ya haraka ya kuyapunguza ...

Maumivu ya goti; Dawa ya haraka ya kuyapunguza ...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
HABARI ZENU WANA JF;


Husika na kichwa cha habari hapo juu kama unafahamu au ijua dawa ya haraka ya maumuvu ya goti unisaidie jina lake niitafute,ila ukumbuke haya maumivu hayaja tokana na ajari yoyote ya kuliumiza goti,yameanza gafla tu.
 
Lazima kuna sababu za wewe kuumwa magoti chunguza ni nini na unaweza kutumia
Naproxen 500mg
Dosage:1 tablet morning
1 tablet evening for 10 days.
 
Lazima kuna sababu za wewe kuumwa magoti chunguza ni nini na unaweza kutumia
Naproxen 500mg
Dosage:1 tablet morning
1 tablet evening for 10 days.
nilikaaa miezi kadhaa bila kufanya mazoezi nilipoanza nikawa nasikia maumivu hayo goti la kulia,lakini si maumivu ya kunifanya nishindwe kukimbia au kukunja goti,ni pembeni upende wa kushoto....
 
then ni kwasababu ya mazoezi hio dawa itakupunguzia maumivu kwa muda...lakini maumivu hayo yakiendelea zaidi ya wiki mbili kamuone daktari!
 
Labda jaribu kuuchua kwa dawa kama volini pamoja na kuufanyisha mazoezi...
 
Nikikuwa na tatizo kama wewe, Nashukuru nimepona ila sijatumia dawa. Nilienda kupima uzito,nikakuta nina kilo 85,jambo la kwanza nikaanza kufanya diet ili nipunguze uzito, nikawa naruka kamba,kukimbia mwendo wa kutembea,ndani ya mwezi na nusu,uzito ukapungua,goti likapona. Over weight ni kitu cha kwanza kuangalia kabla ya kuanza dawa
 
Back
Top Bottom