Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Sio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za leo ni hofu na mashaka ya kujitoa kwa moyo wote then unaambulia kuachwa.
Wapenzi wengi siku za leo wana matarajio makubwa ya kile wanachohitaji kufanyiwa na wenzi wao. Matokeo yake kila mmoja anaogopa kujitoa kwa mwenzake ili hata wakiachana asiumie sana kihisia.
Wapenzi wengi siku za leo wana matarajio makubwa ya kile wanachohitaji kufanyiwa na wenzi wao. Matokeo yake kila mmoja anaogopa kujitoa kwa mwenzake ili hata wakiachana asiumie sana kihisia.