Mapenzi yanatesa hadi wachawi 😂😂😂maaaaaaanina
sijui ulikuwa unawaza niniSio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za leo ni hofu na mashaka ya kujitoa kwa moyo wote then unaambulia kuachwa.
Wapenzi wengi siku za leo wana matarajio makubwa ya kile wanachohitaji kufanyiwa na wenzi wao. Matokeo yake kila mmoja anaogopa kujitoa kwa mwenzake ili hata wakiachana asiumie sana kihisia.
kwahiyo auntie maana yako ni ipi apoSio kweli kwamba watu hawana mapenzi ya dhati. Si kweli kwamba mapenzi yalikuwa zamani. Si kweli kwamba watu hawajui kupenda. Si kweli kwamba wapenzi hupenda kuumizana. Tatizo kubwa kwa zama za leo ni hofu na mashaka ya kujitoa kwa moyo wote then unaambulia kuachwa.
Wapenzi wengi siku za leo wana matarajio makubwa ya kile wanachohitaji kufanyiwa na wenzi wao. Matokeo yake kila mmoja anaogopa kujitoa kwa mwenzake ili hata wakiachana asiumie sana kihisia.
Mmhhh!Tofautisha mvuto (attraction), tamaa (infatuation) na upendo (love).
Hauhitaji kupendwa ili upende. Love is not a deal to be exchanged. Actually upendo hautafuti mambo yake mwenyewe. Upendo huvumilia yote na zaidi ya yote upendo hustahimili yote.
Ukiona unapenda ila unajiandaa kuachwa ujue hauna upendo na hamtafika po pote. Umejaa tamaa. Anayependa hujitoa kwa moyo wote, hata akiumizwa.
Learn or perish.
Money TalksUkiachwa usikae kizembe.....ukiachwa asubuhi jitahidi jioni uwe kwenye new relation.
HUwa una comments sio za dunia hiiUkiachwa usikae kizembe.....ukiachwa asubuhi jitahidi jioni uwe kwenye new relation.
Yeah! Ukiwa na upendo unapaswa kufanya yote hayo na zaidi bila kutegemea reciprocation.Mmhhh!
Kazi ipo. Kwahiyo kila siku wewe ndiye unapiga simu, hupigiwi, unanunua zawadi,hununuliwi?
Sasa si bora nijipende tu mwenyewe!
Hauwezi. Matatizo ya akili yanasababishwa na matarajio makubwa. Hapa maana yake hauna matarajio.Hapo lazima ujiandae kupata matatizo ya afya ya akili.