Maumivu ya joints

Maumivu ya joints

kolongotitu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
214
Reaction score
147
msaada membersjoints za mabegani ukizungusha mkono joints zinatoa sauti hadi mtu uliyenae karibu anasikia sauti vile vile huambatana na maumivu makali msaada anayejua ugojwa huu na matibabu yake
 
Umri wako?jinsia?Matatizo haya unayo muda gani?kuna mtu yoyote kwenye familia yako mfano mzazi mwenye ugonjwa huu?Una uzito kiasi gani?
 
Pole. Ushauri wa kwanza nenda hospital kapime. kama ulisha pima na kutibiwa hujapata nafuu. ntafute ntakupa soluhisho na njia mbadala ya tatizo lako. umesaidi wengi wenye tatizo kama lako lakini huwa tunashauri kuanzia hospital waweza nitafuta kwa no + 255 689 417 472
 
jinsia-mwanaume , umri ni miaka 26 na katika familia yetu hakuna mwenye tatizo kama hii pia hili tatizo limenisumbua kwa miaka 3 nilienda hospital wakanipa diklofenak zikapooza tu lakin bado nasumbuliwa
 
Pole kaka nami nasumbuliwa nasumbuliwa na tatizo kama lako bado sijalipatia ufumbuzi,joint zote zinasagika maumivu tu
 
Diclofenac inapunguza inflammation na symptoms za ugonjwa wako lakini haikutibu.Una ugonjwa unaoithwa osteoarthitis.
Kwenye mfupa mwishoni mfupa wa kuku kuna kama kimpira au kimfupa cheupe kilaini(cartilage)...kwa mwanaadamu ipo hivohivo..huo mfupa mlaini unazuia mifupa isigusane na inaongeza elasticity ili ujisogeze kwa urahisi.Ukipata ugonjwa ulokuwa nao ule mfupa mweupe(cartilage) inaharibika na kulika na kunakuwa na mapungufu pia ya synovialfluid katikati ya mifupa.Hali ambayo inasababisha mifupa kugusana na kupelekea maumivu!Umepewa dawa ya inflammation kwasababu ukiwa na degenrration ya hio cartilage(mfupa mweupe) kunakuwa na uvimbe/inflammation kwenye synovial membrane,na dawa uliyopatiwa inapunguza maumivu hayo.
osteoarthritis.jpeg
Ugonjwa huu hauna tiba labda dawa za kupunguza maumivu.Unaweza kwenda kwa daktari kupatiwa aina nyingine ya
NSAID´s(Non-steroid antiinflammatory drugs) kama napren-E,arcoxia au dawa nyingine kama glucosamin.Unaweza pia kuchomwa sindano za cortisosteroid mfano Kenakort-T.Ni vyema pia kufanya mazoezi ili kuimarisha misuli na mifupa na kupunguza uzito kama upo nje ya normal BMI.
Kila la kheri
Cc kolongotitu
 
Pole hili tatizo linahusiana sana kukosa lishe staili katika kipindi kirefu.Kuna product za foreverliving kama forever freedom na calcium husaidia kuongeza fluidi kwenye joints. Tafuta product hii itakusaidia.kama utashindwa nitafute nitakusaidi.+255 756 514 644
 
Back
Top Bottom