jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,983 Reaction score 1,423 Sep 12, 2014 #1 Nahitaji msaada wa tiba,nasumbuliwa na kichomi mara kwa mara pindi hali ya hewa inapobadirika na kuwa na ubaridi ubaridi basi kichomi kinanisumbua sana hata kuinama siwezi kwa mda wa masaa 4. Mwenye ushauri wa tiba naomba anisaidie.
Nahitaji msaada wa tiba,nasumbuliwa na kichomi mara kwa mara pindi hali ya hewa inapobadirika na kuwa na ubaridi ubaridi basi kichomi kinanisumbua sana hata kuinama siwezi kwa mda wa masaa 4. Mwenye ushauri wa tiba naomba anisaidie.