Maumivu ya Kichomi

Maumivu ya Kichomi

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Nahitaji msaada wa tiba,nasumbuliwa na kichomi mara kwa mara pindi hali ya hewa inapobadirika na kuwa na ubaridi ubaridi basi kichomi kinanisumbua sana hata kuinama siwezi kwa mda wa masaa 4.
Mwenye ushauri wa tiba naomba anisaidie.
 
Back
Top Bottom