Tafadhali wana jf msaada wa kimawazo,nilijifungua mwezi wa kumi na moja,wiki moja baadae nikiwa maliwatoni nilipata maumivu ya ghafla kichwa kikawa kinapwita na maumivu makali yaliyodumu kwa dakika kadhaa,sasa kichwa kimekua tatizo kila nikisikia kupata haja kubwa kinauma,nakosa raha.msaada wa kimawazo nitashukuru