Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

olivier

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Tafadhali wana jf msaada wa kimawazo,nilijifungua mwezi wa kumi na moja,wiki moja baadae nikiwa maliwatoni nilipata maumivu ya ghafla kichwa kikawa kinapwita na maumivu makali yaliyodumu kwa dakika kadhaa,sasa kichwa kimekua tatizo kila nikisikia kupata haja kubwa kinauma,nakosa raha.msaada wa kimawazo nitashukuru
 
Pole. Wakati unatafuta matibabu ya hospitali jiweke kwanza kwenye maombi maana Yesu anaweza yote.
 
Bibie.@olivier Pole sana kwa kupata maumivu ya kichwa kama unavyosema kuwa ukijisikia haja kubwa ndio unapata maumivu ya kichwa una matatizo ya kutopata haja kubwa kiurahisi inaonyesha wewe hupati haja kubwa kama kawaida yako. Je kwa wiki unapata choo mara ngapi haja kubwa?

Dawa ya Maradhi ya kichwa.
Fikicha (sugua) tangawizi kwa maji na weka kwenye paji la uso

Kunywa maji ya uvuguvugu Kila asubuhi glasi 2 kabla ya kula kitu, na ukae kama dakika 45 ndio waweza kula chakula.

Kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi moja wakati wa mchana kabla kula kitu kisha ukae kama dakika 45 kisha waweza kula

chakula cha mchana. Kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi 1 wakati wa chakula cha usiku kabla ya kula, kisha

ukae saa 1 baada ya hiyo sa waweza kula chakula. Na wakati wa kulala kunywa tena maji ya uvuguvugu glasi moja kisha ndio ulale fanya hivyo kila siku matatizo yako ya kuumwa na kichwa yataondoka.Tumia hizo Dawa kisha uje hapa unipe Feedback.

More likely thats a migraine head ache tumia aloe vera gel.
 
If it could be migraine- sawa ange umwa na kichwa bt hata kutapika,nausie,fever,diznes,drawsnes na ingekuwa mara kwa mara asubuh au kipind alipokuwa ana mimba bt huyu mtu anaumwa na kichwa wakati anajisaidia huoni kwamba inaweza kuwa constpitation au inaweza kuwa anaemia, nivizur ukafanye vipimo kama "full blood picture" na vinginevyo fika hospital!
 
Back
Top Bottom