Kama huna matatizo ya kudumu ya macho, kuumwa kichwa ni dalili ya ubongo kupungukiwa maji.
Duh.
Kwa hiyo.ajiloweke kwenye maji?
Mama, hili ni jukwaa la mambo ya tiba. Tulitendee haki kwa kuepusha mizaha ya namna hii, fikiria wewe ndio umekuwa na tatizo kisha mtu aandike takataka kama hii uliyoandika kisha akaondoka.
Hebu jikate kule.
Unatibiwa na madaktari wana #jotohasira . Mie daktari wangu tunatia stori za movies, series na vitabu tulivyosoma. Ananipa na kahawa and we talk about families.
Jibu basi. Kutatua tatizo la 'dehydrated brain' afanyeje?
Inawezekana daktari wako huwa anakuruka majoka vilevile, hujui hali anayopitia mwenzio. Tufanye vitu kwa viwango vinavyokubalika, na sio viwango binafsi vya kubumba. Kama wewe dakitari wako huwa anakutomasa-tomasa kabla hajakutibia, sio kila mtu ana fursa hiyo.
sasa hapa kuna fursa mbili:
1- Uwe daktari wangu ili nikupe fursa ya kuniruka majoka na kunitomasa tomasa (itakupunguzia ghadhabu ya kuwa over worked na masurufu kiduchu )
2- Umtibu huyu mgonjwa, na akiamua kukutunuku fursa iwe bahati yako.
Usinijibu mie, tumasaidie nasi mgonjwa. ujue na mie niko interested manake naumwagwa sana kichwa nisipeonda hospitali muda mrefu. Tunapiga porohjo hapa na mwenzetu yu mgonjwa.